32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao.
33Wana wa Yafleti walikuwa: Pasaki, Bimhali na Ashvathi. Hawa walikuwa wana wa Yafleti.
34Wana wa Shemeri walikuwa: Ahi, Roga, Yehuba na Aramu.
35Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
36Wana wa Sofa walikuwa: Sua, Harneferi, Shuali, Beri, Imra,