1Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli ambao walikwenda Misri na Yakobo, kila mmoja akiwa pamoja na jamaa yake:
2Reubeni, Simeoni, Lawi na Yuda;
3Isakari, Zabuloni na Benyamini;
4Dani na Naftali, Gadi na Asheri.
5Wazao wote wa Yakobo walikuwa watu sabini; Yosefu alikuwa tayari yuko Misri.