Mwanzo 8

“Toka ndani ya safina, wewe na mkeo na wanao na wake zao.

Genesis 8:16 (UKJV) Go out of the ark, you, and your wife, and your sons, and your sons' wives with you.

14Katika siku ya ishirini na saba ya mwezi wa pili dunia ilikuwa imekauka kabisa.

15Ndipo Mungu akamwambia Noa,

16“Toka ndani ya safina, wewe na mkeo na wanao na wake zao.

17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.”

18Kwa hiyo Noa akatoka nje pamoja na mkewe, wanawe na wake zao.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.