Waebrania 10

kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.

Hebrews 10:4 (UKJV) For it is not possible that the blood of bulls and of goats should take away sins.

2Kama dhabihu hizo zingeweza kuwakamilisha, hazingeendelea kutolewa tena. Kwa kuwa hao waabuduo wangekuwa wametakaswa mara moja tu, wala wasingejiona tena kuwa na dhambi.

3Lakini zile dhabihu zilikuwa ukumbusho wa dhambi kila mwaka,

4kwa sababu haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.

5Kwa hiyo, Kristo alipokuja duniani, alisema: “Dhabihu na sadaka hukuzitaka, bali mwili uliniandalia;

6sadaka za kuteketezwa na za dhambi hukupendezwa nazo.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.