Yeremia 13

Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako ili aibu yako ionekane:

Jeremiah 13:26 (UKJV) Therefore will I discover your skirts upon your face, that your shame may appear.

24“Nitawatawanya kama makapi yapeperushwayo na upepo wa jangwani.

25Hii ndiyo kura yako, fungu nililokuamuria,” asema Bwana, “kwa sababu umenisahau mimi na kuamini miungu ya uongo.

26Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako ili aibu yako ionekane:

27uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, ukahaba wako usio na aibu! Nimeyaona matendo yako ya machukizo juu ya vilima na mashambani. Ole wako, ee Yerusalemu! Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.