19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema,
20‘Hakika adui zetu wameangamizwa, nao moto umeteketeza mali zao.’
21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, ndipo mema yatakapokujia.
22Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, na maneno yake uyaweke moyoni mwako.
23Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako,