27Utamwomba yeye, naye atakusikia, nawe utazitimiza nadhiri zako.
28Utakusudia jambo nalo litatendeka, nao mwanga utaangazia njia zako.
29Watu watakaposhushwa, nawe ukasema, ‘Wainue!’ ndipo atamwokoa aliyevunjika moyo.
30Atamwokoa hata yule ambaye ana hatia, ataokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.”