4midomo yangu haitanena uovu, wala ulimi wangu hautatamka udanganyifu.
5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; hadi nife, sitakana uadilifu wangu.
6Nitadumisha haki yangu wala sitaiacha; dhamiri yangu haitanisuta muda wote ninaoishi.
7“Watesi wangu wawe kama waovu, nao adui zangu wawe kama wasio haki!
8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, Mungu anapouondoa uhai wake?