Ayubu 28

Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.

Job 28:13 (UKJV) Man knows not the price thereof; neither is it found in the land of the living.

11Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru.

12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?

13Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.

14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’

15Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote, wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.