Ayubu 28

“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?

Job 28:12 (UKJV) But where shall wisdom be found? and where is the place of understanding?

10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; macho yake huona hazina zake zote.

11Hutafuta vyanzo vya mito na kuvileta vitu vilivyofichika katika nuru.

12“Lakini hekima inaweza kupatikana wapi? Ufahamu unakaa wapi?

13Mwanadamu hatambui thamani yake; haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai.

14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.