Ayubu 32

“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia.

Job 32:15 (UKJV) They were amazed, they answered no more: they left off speaking.

13Msiseme, ‘Tumepata hekima; Mungu na amthibitishe kuwa mwongo, wala si mwanadamu.’

14Lakini Ayubu hajayapanga maneno yake dhidi yangu, nami sitamjibu kwa kutumia hoja zenu.

15“Wametiwa hofu na hawana la zaidi la kusema; maneno yamewaishia.

16Je, ningoje sasa kwa sababu wamekuwa kimya, kwa vile sasa wanasimama bila kuwa na la kujibu?

17Mimi nami nitakuwa na la kusema; mimi nami nitasema lile nilijualo.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.