Ayubu 33

Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.

Job 33:32 (UKJV) If you have anything to say, answer me: speak, for I desire to justify you.

30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, ili nuru ya uzima imwangazie.

31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; nyamaza, nami nitanena.

32Kama unalo lolote la kusema, unijibu; sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia.

33Lakini kama huna la kusema, basi nisikilize mimi; nyamaza, nami nitakufundisha hekima.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.