Ayubu 34

Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’

Job 34:32 (UKJV) That which I see not teach you me: if I have done iniquity, I will do no more.

30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, au wale ambao huwategea watu mitego.

31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena.

32Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’

33Je basi, Mungu atakulipa kwa masharti yako, wakati wewe umekataa kutubu? Yakupasa wewe uamue, wala si mimi; sasa niambie lile ulijualo.

34“Wanadamu wenye ufahamu husema, wenye hekima wanaonisikia huniambia,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.