Ayubu 35

Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee,

Job 35:14 (UKJV) Although you says you shall not see him, yet judgment is before him; therefore trust you in him.

12Yeye hajibu wakati watu waliapo kwa sababu ya kiburi cha watu waovu.

13Naam, Mungu hasikilizi maombi yao ya ubatili; Mwenyezi hayazingatii.

14Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza wewe usemapo humwoni, tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake na wewe lazima umngojee,

15pia zaidi, kwamba hasira yake kamwe haiadhibu wala haangalii uovu hata kidogo?

16Hivyo Ayubu hufumbua kinywa chake kwa maneno yasiyo na maana; anaongea maneno mengi bila maarifa.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.