21Jihadhari usigeukie uovu, ambao unaupenda zaidi kuliko mateso.
22“Mungu ametukuzwa katika nguvu zake. Ni nani aliye mwalimu kama yeye?
23Ni nani aliyemwelekeza katika njia zake, au kumwambia, ‘Wewe umetenda yasiyo sawa’?
24Kumbuka kuzitukuza kazi zake, ambazo watu wamezisifu katika wimbo.
25Wanadamu wote wameiona; watu wanaikazia macho kwa mbali.