Ayubu 37

Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha.

Job 37:22 (UKJV) Fair weather comes out of the north: with God is terrible majesty.

20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea? Je, yuko mtu ambaye angeomba kumezwa?

21Basi hakuna awezaye kulitazama jua, jinsi linavyongʼaa angani, upepo ukishafagia mawingu.

22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu; Mungu huja katika utukufu wa kutisha.

23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza; katika hukumu zake na haki yake kuu, hataonea.

24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.