27ili kuitosheleza nchi ya ukiwa na jangwa, na majani yaanze kumea ndani yake?
28Je, mvua ina baba? Ni nani baba azaaye matone ya umande?
29Barafu inatoka tumbo la nani? Ni nani azaaye ukungu kutoka mbinguni,
30wakati maji yawapo magumu kama jiwe, wakati uso wa vilindi vya maji unapoganda?
31“Je, waweza kuufunga mnyororo wa Kilimia? Waweza kulegeza kamba za Orioni?