Ayubu 39

Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake.

Job 39:28 (UKJV) She dwells and abides on the rock, upon the crag of the rock, and the strong place.

26“Je, mwewe huruka kwa hekima yako na kuyakunjua mabawa yake kuelekea kusini?

27Je, tai hupaa juu kwa amri yako na kujenga kiota chake mahali pa juu?

28Huishi juu ya miamba mirefu na kukaa huko usiku; majabali yenye ncha kali ndiyo ngome yake.

29Kutoka huko hutafuta chakula chake; macho yake hukiona kutoka mbali.

30Makinda yake hujilisha damu, na pale palipo na machinjo, ndipo yeye alipo.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.