Ayubu 39

Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi.

Job 39:8 (UKJV) The range of the mountains is his pasture, and he searches after every green thing.

6Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, nchi ya chumvi kuwa makao yake.

7Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari.

8Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi.

9“Je, nyati atakubali kukutumikia? Atakaa karibu na hori lako usiku?

10Je, waweza kumfungia kwenye matuta kwa kamba? Je, atalima mabonde nyuma yako?

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.