3Hivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli.
4Haya ndiyo majina yao: kutoka kabila la Reubeni, Shamua mwana wa Zakuri;
5kutoka kabila la Simeoni, Shafati mwana wa Hori;
6kutoka kabila la Yuda, Kalebu mwana wa Yefune;
7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;