Mithali 12

Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, bali Bwana humhukumu mwenye hila.

Proverbs 12:2 (UKJV) A good man obtains favour of the LORD: but a man of wicked devices will he condemn.

1Yeyote apendaye kuadibishwa hupenda maarifa, bali yeye achukiaye kuonywa ni mpumbavu.

2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, bali Bwana humhukumu mwenye hila.

3Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa.

4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.