12Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa.
13Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa.
14Mwadhibu kwa fimbo na kuiokoa nafsi yake kutoka mautini.
15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, basi moyo wangu utafurahi,
16utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa.