26Jawabu la uaminifu ni kama busu la midomoni.
27Maliza kazi zako za nje, nawe uweke mashamba yako tayari, baada ya hayo, jenga nyumba yako.
28Usishuhudie dhidi ya jirani yako bila sababu, au kutumia midomo yako kudanganya.
29Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.”
30Nilipita karibu na shamba la mvivu, karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili,