Mithali 30

“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka, naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia:

Proverbs 30:21 (UKJV) For three things the earth is disquieted, and for four which it cannot bear:

19Ni mwendo wa tai katika anga, mwendo wa nyoka juu ya mwamba, mwendo wa meli katika maji makuu ya bahari, nao mwendo wa mtu pamoja na msichana.

20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, hula akapangusa kinywa chake na kusema, ‘Sikufanya chochote kibaya.’

21“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka, naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia:

22Mtumwa awapo mfalme, mpumbavu ashibapo chakula,

23mwanamke asiyependwa aolewapo, naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.