20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, hula akapangusa kinywa chake na kusema, ‘Sikufanya chochote kibaya.’
21“Kwa mambo matatu nchi hutetemeka, naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia:
22Mtumwa awapo mfalme, mpumbavu ashibapo chakula,
23mwanamke asiyependwa aolewapo, naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake.
24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, lakini vina akili nyingi sana: