6Wape kileo wale wanaoangamia, mvinyo wale walio na uchungu,
7Wanywe na kusahau umaskini wao na wasikumbuke taabu yao tena.
8“Sema kwa ajili ya wale wasioweza kujisemea, kwa ajili ya haki za wote walioachwa ukiwa.
9Sema na uamue kwa haki, tetea haki za maskini na wahitaji.”
10Mke mwenye sifa nzuri, ni nani awezaye kumpata? Yeye ni wa thamani sana kuliko marijani.