18Walichubua miguu yake kwa minyororo, shingo yake ilifungwa kwa chuma,
19hadi yale aliyotangulia kusema yalipotimia, hadi neno la Bwana lilipomthibitisha.
20Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.
21Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,
22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima.