20Mfalme alituma watu wakamfungua, mtawala wa watu alimwachia huru.
21Alimfanya mkuu wa nyumba yake, mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,
22kuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo na kuwafundisha wazee wake hekima.
23Kisha Israeli akaingia Misri, Yakobo akaishi kama mgeni katika nchi ya Hamu.
24Bwana aliwafanya watu wake kuzaana sana, akawafanya kuwa wengi sana kuliko adui zao,