39Alitandaza wingu kama kifuniko, na moto kuwamulikia usiku.
40Waliomba, naye akawaletea kware, akawashibisha kwa mkate wa mbinguni.
41Alipasua mwamba, maji yakabubujika, yakatiririka jangwani kama mto.
42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, aliyompa Abrahamu mtumishi wake.
43Aliwatoa watu wake kwa furaha, wateule wake kwa kelele za shangwe,