Zaburi 107

Waliziona kazi za Bwana, matendo yake ya ajabu kilindini.

Psalm 107:24 (UKJV) These see the works of the LORD, and his wonders in the deep.

22Na watoe dhabihu za kushukuru, na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha.

23Wengine walisafiri baharini kwa meli, walikuwa wafanyabiashara kwenye maji makuu.

24Waliziona kazi za Bwana, matendo yake ya ajabu kilindini.

25Kwa maana alisema na kuamsha tufani iliyoinua mawimbi juu.

26Yakainuka juu mbinguni, yakashuka chini hadi vilindini, katika hatari hii ujasiri wao uliyeyuka.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.