Zaburi 115

Kwa nini mataifa waseme, “Yuko wapi Mungu wao?”

Psalm 115:2 (UKJV) Wherefore should the heathen say, Where is now their God?

1Sio kwetu sisi, Ee Bwana, sio kwetu sisi, bali utukufu ni kwa jina lako, kwa sababu ya upendo na uaminifu wako.

2Kwa nini mataifa waseme, “Yuko wapi Mungu wao?”

3Mungu wetu yuko mbinguni, naye hufanya lolote limpendezalo.

4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.