126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia, kwa kuwa sheria yako inavunjwa.
127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, naam, zaidi ya dhahabu safi,
128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili, nachukia kila njia potovu.
129Sheria zako ni za ajabu, hivyo ninazitii.
130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru, kunampa mjinga ufahamu.