173Mkono wako uwe tayari kunisaidia, kwa kuwa nimechagua mausia yako.
174Ee Bwana, ninatamani wokovu wako, na sheria yako ni furaha yangu.
175Nijalie kuishi ili nipate kukusifu, na sheria zako zinitegemeze.
176Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea. Mtafute mtumishi wako, kwa kuwa sijasahau amri zako.