Zaburi 119

Mimi ni mgeni duniani, usinifiche amri zako.

Psalm 119:19 (UKJV) I am a stranger in the earth: hide not your commandments from me.

17Mtendee mema mtumishi wako, nami nitaishi; nitalitii neno lako.

18Yafungue macho yangu nipate kuona mambo ya ajabu katika sheria yako.

19Mimi ni mgeni duniani, usinifiche amri zako.

20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa juu ya sheria zako wakati wote.

21Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa waendao mbali na amri zako.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.