27Nijulishe mafundisho ya mausia yako, nami nitatafakari maajabu yako.
28Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni, uniimarishe sawasawa na neno lako.
29Niepushe na njia za udanganyifu, kwa neema unifundishe sheria zako.
30Nimechagua njia ya kweli, nimekaza moyo wangu katika sheria zako.
31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana, usiniache niaibishwe.