21Ee Bwana, je, nisiwachukie wanaokuchukia? Nisiwachukie sana wanaoinuka dhidi yako?
22Sina kitu zaidi ya chuki dhidi yao, ninawahesabu ni adui zangu.
23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, nijaribu na ujue mawazo yangu.
24Uone kama kuna njia iletayo machukizo ndani yangu, uniongoze katika njia ya milele.