8Bwana ni mwenye neema na mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo.
9Bwana ni mwema kwa wote, ana huruma kwa vyote alivyovifanya.
10Ee Bwana, vyote ulivyovifanya vitakusifu, watakatifu wako watakutukuza.
11Watasimulia utukufu wa ufalme wako na kusema juu ya ukuu wako,
12ili watu wote wajue matendo yako makuu na utukufu wa fahari ya ufalme wako.