Zaburi 36

Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.

Psalm 36:11 (UKJV) Let not the foot of pride come against me, and let not the hand of the wicked remove me.

9Kuwa pamoja nawe ni kijito cha uzima, katika nuru yako twaona nuru.

10Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo.

11Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.

12Angalia jinsi watenda mabaya walivyoanguka: wametupwa chini, hawawezi kuinuka!

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.