34Mbingu na dunia zimsifu, bahari na vyote viendavyo ndani yake,
35kwa maana Mungu ataiokoa Sayuni na kuijenga tena miji ya Yuda. Kisha watu watafanya makao yao humo na kuimiliki,
36watoto wa watumishi wake watairithi na wale wote walipendao jina lake wataishi humo.