14Mchana kutwa nimetaabika, nimeadhibiwa kila asubuhi.
15Kama ningesema, “Nitasema hivi,” ningelikuwa nimewasaliti watoto wako.
16Nilipojaribu kuelewa haya yote, yalikuwa magumu kwangu kuelewa.
17Mpaka nilipoingia patakatifu pa Mungu, ndipo nilipotambua mwisho wao.
18Hakika unawaweka mahali pa utelezi, unawaangusha chini kwa uharibifu.