6Kwa hiyo kiburi ni mkufu wao, wamejivika jeuri.
7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo.
8Hudhihaki na kusema kwa ukorofi, katika majivuno yao wanatishia kutesa.
9Vinywa vyao huweka madai hata kwa mbingu, nazo ndimi zao humiliki duniani.
10Kwa hiyo watu wao huwageukia na kunywa maji tele.