9Hamtakuwa na mungu mgeni miongoni mwenu; msimsujudie mungu wa kigeni.
10Mimi ni Bwana Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.
11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; Israeli hakutaka kunitii.
12Basi niliwaacha katika ukaidi wa mioyo yao wafuate mashauri yao wenyewe.
13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, kama Israeli wangalifuata njia zangu,