Zaburi 92

waliopandwa katika nyumba ya Bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu.

Psalm 92:13 (UKJV) Those that be planted in the house of the LORD shall flourish in the courts of our God.

11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa, masikio yangu yamesikia maangamizi ya adui zangu waovu.

12Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni,

13waliopandwa katika nyumba ya Bwana, watastawi katika nyua za Mungu wetu.

14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda, watakuwa wabichi tena wamejaa nguvu,

15wakitangaza, “Bwana ni mkamilifu; yeye ni Mwamba wangu, na ndani yake hamna uovu.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.