34“Wanadamu wenye ufahamu husema, wenye hekima wanaonisikia huniambia,
35‘Ayubu huongea bila maarifa; maneno yake hayana busara.’
36Laiti Ayubu angejaribiwa hadi kikomo cha mwisho, kwa sababu anajibu kama mtu mwovu!
37Kwenye dhambi yake huongeza uasi; kwa dharau hupiga makofi miongoni mwetu, na kuzidisha maneno yake dhidi ya Mungu.”