4Kwa haki mfalme huipa nchi uthabiti, bali mfalme aliye na tamaa ya rushwa huiangamiza.
5Yeyote amsifuye jirani yake isivyostahili, anautandaza wavu kuitega miguu yake.
6Mtu mbaya hutegwa na dhambi yake mwenyewe bali mwenye haki huweza kuimba na kufurahi.
7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, bali mwovu hajishughulishi na hilo.
8Wenye mzaha huuchochea mji, bali watu wenye hekima hugeuzia mbali hasira.