35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo;
36aliwaleta wenye njaa wakaishi humo, nao wakajenga mji wangeweza kuishi.
37Walilima mashamba na kupanda mizabibu, nayo ikazaa matunda mengi,
38Mungu aliwabariki, hesabu yao ikaongezeka sana, wala hakuruhusu mifugo yao kupungua.
39Kisha hesabu yao ilipungua, na walinyenyekeshwa kwa kuonewa, maafa na huzuni.