Zaburi 119

Sheria zako ni sahihi milele, hunipa ufahamu ili nipate kuishi.

Psalm 119:144 (UKJV) The righteousness of your testimonies is everlasting: give me understanding, and I shall live.

142Haki yako ni ya milele, na sheria yako ni kweli.

143Shida na dhiki zimenipata, lakini amri zako ni furaha yangu.

144Sheria zako ni sahihi milele, hunipa ufahamu ili nipate kuishi.

145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako.

146Ninakuita; niokoe nami nitazishika sheria zako.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.