42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki, kwa kuwa ninalitumainia neno lako.
43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu, kwa kuwa nimeweka tumaini langu katika amri zako.
44Nitaitii amri yako daima, naam, milele na milele.
45Nitatembea nikiwa huru, kwa kuwa nimejifunza mausia yako.
46Nitasema sheria zako mbele za wafalme wala sitaaibishwa,