10Bwana huzuia mipango ya mataifa, hupinga makusudi ya mataifa.
11Lakini mipango ya Bwana inasimama imara milele, makusudi ya moyo wake kwa vizazi vyote.
12Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu ambao aliwachagua kuwa urithi wake.
13Kutoka mbinguni Bwana hutazama chini na kuwaona wanadamu wote;
14kutoka maskani mwake huwaangalia wote wakaao duniani: