14Aliwaongoza kwa wingu mchana na kwa nuru kutoka kwenye moto usiku kucha.
15Alipasua miamba jangwani na akawapa maji tele kama bahari,
16alitoa vijito kutoka kwenye jabali lililochongoka, akayafanya maji yatiririke kama mito.
17Lakini waliendelea kutenda dhambi dhidi yake, wakiasi jangwani dhidi ya Aliye Juu Sana.
18Kwa makusudi walimjaribu Mungu, wakidai vyakula walivyovitamani.